Jimbo Katoliki la Crema
Mandhari
Jimbo Katoliki la Crema (kwa Kilatini "Cremensis") ni mojawapo kati ya majimbo 223 ya Kanisa Katoliki nchini Italia na kama hayo yote (isipokuwa 3) linafuata mapokeo ya Kiroma.
Crema iko katika wilaya ya Cremona kwenye mkoa wa Lombardia.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Milano.
Askofu wake ni Daniele Gianotti.
Uongozi katika karne XX na XXI
[hariri | hariri chanzo]- Maaskofu wa karne ya 20
- Ernesto Fontana † (1894 - 1910)
- Bernardo Pizzorno † (1911 - 1915)
- Carlo Dalmazio Minoretti † (1915 - 16 Januari 1925 alihamishiwa Genova)
- Giacomo Montanelli † (1925 - 1928 alihamishiwa Vercelli kama mwandamizi)
- Marcello Mimmi † (1930 - 1933 alihamishiwa Bari)
- Francesco Maria Franco † (1933 - 1950)
- Giuseppe Piazzi † (1950 - 1953 alihamishiwa Bergamo)
- Placido Maria Cambiaghi, B. † (15 novembre 1953 - 28 febbraio 1963 alihamishiwa Novara)
- Franco Costa † (1963 - 1963)
- Carlo Manziana, C.O. † (1963 - 1981)
- Libero Tresoldi † (1981 - 1996)
- Angelo Paravisi † (1996 - 2004)
- Oscar Cantoni (2005 - 2016 alihamishiwa Como)
- Daniele Gianotti, tangu 11 Januari 2017
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 278, ambapo kati ya wakazi 102.000 Wakatoliki ni 103.650 (98,4%).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Crema kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |