The Second Coming (Heroes)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
"The Second Coming"
Sehemu ya Heroes
Heroes - the second coming.jpg
Matt Parkman (Greg Grunberg) anaona mchoro wa dunia inalipuka kwa ndani.
Sehemu ya. Msimu 3
Sehemu 1
Imetungwa na Tim Kring
Imeongozwa na Allan Arkush
Tayarisho la 301
Tarehe halisi ya kurushwa September 22, 2008
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"Powerless" "The Butterfly Effect"
Orodha ya sehemu za Heroes

"The Second Coming" ni jina la kutaja sehemu ya kwanza ya msimu wa tatu wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes, na sehemu ya therathini-na-tano kwa hesabu ya sehemu zote. Kipengele hiki kilitungwa na mwanzilishi na mtayarishaji mkuu wa mfululizo huu Tim Kring na kuongozwa na matayarishaji mtendaji Allan Arkush. Ilianza kurushwa kwa mara ya kwanza mnamo tar. 22 Septemba, 2008, ukiwa kama ndiyo mwanzo wa mtiririko wa hadithi ya "Villains".

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Kipengele hiki kinaanza na miaka minne ya baadaye. Peter, mwenye kovu katika sura yake, anakimbizwa na kisha kuingia katika jumba la ndege. Claire anajaribu kumpiga risasi, lakini Peter anasimamisha wakati na kutorokea katika siku ya sasa, akichukua silaha ya Claire na yeye.

Katika mkutano wa Nathan na vyombo vya habari, Peter-Mustakabali anampiga risasi Nathan, kama jinsi ilivyoonekana kwenye "Powerless". Peter-Mustakabali baadaye anamkimbiza Nathan hospitalini, ambapo Nathan anakufa. Muda mfupi baadaye, Nathan anaamka, inapelekea amini ya kwamba Mungu amempa fursa nyingine katika maisha.

Nathan baadayea anatembelewa na Mr. Linderman, inampelekea kuamini ya kwamba Linderman ilikuwa sababu ya yeye kupona. Gavana wa New York anamwangalia Nathan kwenye televisheni, na kutoa habari kwa mwanamke aliye lala nae: Tracy, mwanamke ambaye anafanana kabisa na Niki. Anamwambia mwanamama huyo ya kwamba amepata kile ambacho alikuwa anakitafuta.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]