How to Stop an Exploding Man

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"How to Stop an Exploding Man"
Sehemu ya Heroes

Peter and Sylar face-off at Kirby Plaza.
Sehemu ya. Msimu 1
Sehemu 23
Imetungwa na Tim Kring
Imeongozwa na Allan Arkush
Tayarisho la 123
Tarehe halisi ya kurushwa 21 Mei 2007
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"Landslide" "Four Months Later..."
Orodha ya sehemu za Heroes

"How to Stop an Exploding Man" ni sehemu ya ishirini na tatu na mwisho ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Sehemu hii ilitungwa na Tim Kring na kuongozwa na Allan Arkush. Kipengele ndiyo cha mwisho katika vipande vitatu vya mwisho katika msimu wa kwanza.[1]

Sehemu hii imeanza kupigwa picha mnamo tar. 26 Machi. Imeanza kurusgwa mnamo tar. 21 Mei 2007.[2] Jina la sehemu hii linatokana na swali ambalo Hiro Nakamura aliuliza kwenye "Fallout".

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Mr. Bennet anamnyooshea silaha Molly, anamtishia maisha ya binti huyo ili amwokoe Claire, na Suresh anamnyooshea silaha kwa Bennet, ili kumwokoa Molly. Mvutano uliovurugwa baiana ya Molly na Matt Parkman umepelekea kuwekeana dosari.

Sylar anaona mchoro unaomtabiri mapigano baina yake na Peter, ambaye amemtambua mapema.

Hiro anamwambia baba'ke hana budi kumsaidia Ando na kumzuia Sylar. Amesafirisha kiajabu na kutoka kwenye dari la Isaac Mendez, ambapo Ando alipigwa pini ukutani na Sylar. Hiro anawasili kumkabili Sylar, na Sylar anamnzingua Hiro aondoke haraka awezavyo. Kwa kumshangaza Sylar, Hiro ameteleport humo kwa humo hadi kwa Ando na wote wakatoweka kabla Sylar hajafanya balaa lake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Lee, Patrick (2007-03-19). Heroes Finale Details Leaked. SciFi Wire. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-03-22. Iliwekwa mnamo 2007-03-19.
  2. Heroes: How to Stop an Exploding Man - TV.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-03-30. Iliwekwa mnamo 2010-09-17.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]