Cautionary Tales

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
"Cautionary Tales"
Sehemu ya Heroes
Heroes noah dead.jpg
Noah amepigwa risasi ya jicho na Mohinder kama jinsi ilivyoonekana katika michoro ya Isaac Mendez.
Sehemu ya. Msimu 2
Sehemu 9
Imetungwa na Joe Pokaski
Imeongozwa na Greg Yaitanes
Tayarisho la 209
Tarehe halisi ya kurushwa November 19, 2007
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"Four Months Ago..." "Truth & Consequences"
Orodha ya sehemu za Heroes

"Cautionary Tales" ni sehemu ya saba ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Ilianza kurushwa hewani kwa mara ya kwanza tarehe 19 Novemba 2007.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Familia ya Kina Bennet kuendeleza mbio kama kawaida yao, lakini Claire anakataa. Noah anajitia kumlazimisha, lakini Sandra anaingilia kati na kughairisha safari hadi usiku wake. Claire anaweka ujumbe wa kumtaka radhi West ("SORRY"), ambaye anatokea juu wakati anapaa na kukutana na Claire. Anamshutumu kwa kufanya kazi na baba'ke ili kumchungua yeye na kukataa katakata kumwamini Claire kwa vile anaamini ya kwamba hayo anayoyafanya si kweli ni maigizo tu.

Muda huohuo, Mohinder na Bob wanajadiliana kuhusu mpango wa kumtekanyara Claire; Bob anakubaliana na matakwa ya Mohinder, lakini pia anadai ya kwamba Suresh ana hitaji mtu ambaye anaweza kutekeleza." anamtambulisha mwenzi wa Mohinder – ambaye ni binti wa Bob Elle.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]