Nenda kwa yaliyomo

The Line (Heroes)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka The Line)
"The Line"
Sehemu ya Heroes

Peter finds an evacuation notice in the future.
Sehemu ya. Msimu 2
Sehemu 6
Imetungwa na Adam Armus and Kay Foster
Imeongozwa na Jeannot Szwarc
Tarehe halisi ya kurushwa Oktoba 29, 2007
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"Fight or Flight" "Out of Time"
Orodha ya sehemu Heroes

"The Line" ni sehemu ya sita ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Ilianza kurushwa hewani kwa mara ya kwanza mnamo tar. 29 Oktoba, 2007 huko nchini Marekani.

Peter anaamua kufuatilia ule mchoro na tiketi hadi mjini Montreal, na Caitlin ana-ng'ang'ania waende wote na Peter kwa minajili ya kutaka kulipiza kisasi cha kifo cha kaka yake, Ricky.

Claire anajaribu kujiunga na kikosi cha ukuu-wa-ushabiki, ambapo alibwagwa kwa makusudi na Debbie, licha ya kuwa mgombea bora. West anamshawishi Claire kumdhalilisha Debbie hivyo basi ataweza kutumia ukuu wa ushabiki kama kificho cha mahusiano yao.

Debbie anapiga vinywaji na washabiki wenzake huku Claire akija na kumuomba waongee kidogo faragha. Baada ya Debbie kukataa kwa mara ya pili kumruhusu Claire kujiunga na kikosi, West anatokea akiwa anatembea na ski huku akificha uso wake na kumchukua Claire, kambwaga chini na kujifanya kamuua. Debbie kala kona huku West akimkimbiza.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]