Isaac Mendez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Isaac Méndez
muhusika wa Heroes
Mwonekano wa kwanza "Genesis"
Mwonekano wa mwisho ".07%" (muda wa kawaida); "Once Upon a Time in Texas" (kumbukumbu)
Imechezwa na Santiago Cabrera
Maelezo
Kazi yake Mchoraji
Msanii wa vitabu vya vichekesho na mwandishi
UwezoKuiona baadaye (anauelezea mustakabali kupitia mchoro)

Isaac Méndez ni jina la kutaja uhusika wa katika tamthilia ya Heroes ambayo inarushwa hewani na televisheni ya NBC. Uhusika umechezwa na Santiago Cabrera, ana uwezo wa kuchora matukio ya baadaye.

Muhtasari wa uhusika[hariri | hariri chanzo]

Genesis[hariri | hariri chanzo]

Hadithi ya Isaac Méndez inaanza katika sehemu ya kwanza, ambapo anajitafutia, na msanii mwenye mateso aishiye huko kwa tabu huko mjini New York City. Mpenzi na mnunuzi wake mkuu ni Simone Deveaux. Mendez ametawaliwa na heroini, na alifanikiwa kiasi kuacha matumizi haya mabaya kabisa, anaweka mkazo juu ya mahusiano yake na Simone. Mkazo huu umeharibika wakati Isaac anagundua kwamba anaweza kuona na kuchora matukio ya baadaye—lakini akiwa katika hali ya ulevi wa heroini tu. Hapo awali, Isaac anafikiri michoro ile kuwa ni "ushetani" na hata kujaribu kuziangamiza, lakini Simone anaziona kama ni mvuto wa kisaniii. Karibia na mwishoni mwa sehemu ya kwanza, Isaac anajidunga dawa kupita kiasi. Simone analeta msaada wa mwuguzi ambaye ni Peter Petrelli, ambaye anagundua kwamba Isaac amechora picha ya Peter bila hata ya kuonana naye hapo awali. Kwa msaada wa Peter, Isaac ananusurika katika kujikita dawa kupita kiasi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]