.07%
".07%" | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Sehemu ya Heroes | |||||||
Linderman anamwonesha Nathan michoro ya Mendez. | |||||||
Sehemu ya. | Msimu 1 Sehemu 19 | ||||||
Imetungwa na | Chuck Kim | ||||||
Imeongozwa na | Adam Kane | ||||||
Tarehe halisi ya kurushwa | 23 Aprili 2007 | ||||||
Waigizaji wageni | |||||||
| |||||||
Orodha ya sehemu za Heroes |
".07%" ni sehemu ya kumi na tisa ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha bunilizi ya kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Ni sehemu ya kwanza ambayo ina maelezo yanayosomwa na mtu mwingine mbali na Sendhil Ramamurthy (Mohinder Suresh), kwa maana hiyo maelezo yanasomwa na Malcolm McDowell (Mr. Linderman). Jina la kipengele hiki linataja siri ya bomu litakalolipuka ni sawa na idadi ya .07% ya wakazi wa dunia.
Hadithi
[hariri | hariri chanzo]Nathan Petrelli na Mr. Linderman wanajadili mustakabali wa Nathan na utabiri wa mlipuko wa bomu. Linderman anaelezea jinsi alivyo na hamu ya kutoa msaada wa kibinadamu ikiwa ni pamoja na "njia iliyobora ya amani ya kudumu." Nathan ameshtushwa baada ya kugundua ya kwamba mpango huu inahusisha kumtumia ndugu yake Peter kama kichocheo cha mlipuko ambao utauwa mamia ya watu wa mjini New York City.
Linderman anaeleza kwamba, hata kama nusu ya wakazi wa New York City watauawa kwenye mlipuko huo, itawakilisha kiasi cha .07% ya wakazi wa dunia nzima, hasara inayokubalika. Pia, ametoa siri ya kwamba ana uwezo wa kutibu wengine, na hivyo amezoea kuwa mmoja kati ya kundi la mashujaa[1], lakini anakua akivaa uokozi wa dunia "maisha mamoja kwa wakati mmoja" na badala ya mipango ya kusaidia dunia ijisaidie yenyewe, huku Nathan akiibuka kwa sauti ya pamoja baada ya msiba. Miongoni mwa michoro Linderman anayoonesha kwa Nathan, mmoja ambao anaonekana Nathan amesimama kwenye Ofisi ya Rais Marekani.
Tabihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Furey, Emmett (2007-03-11). "Linderman reveals plans: "Heroes" clip from Paley Festival". Comic Book Resources. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-03-14. Iliwekwa mnamo 2007-03-11.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Beaming Beeman: Episode 19: .07%, Director's blog on the filming of this episode.