Godsend (Heroes)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
"Godsend"
Sehemu ya Heroes
Heroes s01 e12.jpg
Hiro anatazama upanga lake jipya, ambalo ni nakala ya upanga halisi.
Sehemu ya. Msimu 1
Sehemu 12
Imetungwa na Tim Kring
Imeongozwa na Paul Shapiro
Tayarisho la 112
Tarehe halisi ya kurushwa 22 Januari 2007
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"Fallout" "The Fix"
Orodha ya sehemu za Heroes

"Godsend" ni sehemu ya kumi na mbili ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Majuma mawili baada ya kufuatia matukio ya "Fallout", Peter bado yu maututi na hajitambui baada ya kufyonza nguvu nyingi kwa mfululizo. Wakati Simone kaja kumtembelea, Nathan anamwomba ampeleke kwa Isaac hivyo basi Peter ataweza kujifunza zaidi na sababu zilimpelekea ajifunge kwenye matata yake.

Claire anajifanya hana kumbukumbu wakati Mr. Bennet yupo, hivyo hawezi kugundua kama Mhaiti hajakataa agizo. Anajitia kwamba Zach hana kumbukumbu kama walikuwa marafiki. Anamwelezea the Haitian jinsi ambavyo hawezi kuendelea kuwa mpweke na anaomba kumbukumbu za Zach zirejeshwe na akutane na Peter.

Mhaiti anamhabarisha kwamba hawezi kurudisha kumbukumbu za Zach na kwamba huyo Peter anatazamwa, na iwapo atamtembelea, Mr. Bennet atajua kwamba kumbukumbu zake zimerudi. Claire kaanzisha upya ule uhalisia wake na Zach kwenye "Genesis" kwa kumwomba ampige video wakati anaruka kutoka katika jukwaa refu, anamwonesha nguvu yake ya kujiponesha mbele yake na kwa mara nyingine tena anaingiza uaminifu wake kwa Zach.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]