Six Months Ago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Six Months Ago"
Sehemu ya Heroes

Hiro anafanyakazi na Charlie.
Sehemu ya. Msimu 1
Sehemu 10
Imetungwa na Aron Eli Coleite
Imeongozwa na Allan Arkush
Tayarisho la 110
Tarehe halisi ya kurushwa 27 Novemba 2006
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"Homecoming" "Fallout"
Orodha ya sehemu za Heroes

"Six Months Ago" ni sehemu ya kumi ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes. Kipengele kizima ni seti ya miezi kabla kuanza kuoneshwa kwa mfululizo, kinaonesha jinsi wahusika wote walivyoweza kuendeleza na kuzitumia nguvu zao.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Hiro Nakamura anawasili kwenye Burnt Toast Diner miezi sita iliyopita baada ya kujaribu kurudi kwa muda wa siku moja. Charlie, muhudumu ambaye kamwendea kwa ajili ya kumwokoa, anamhudumia huku akisherekea siku yake ya kuzaliwa.

Kwenye duka la saa la Gray & Sons, Gabriel Gray anakutana na Chandra Suresh. Gabriel amemvutia sana mteja huyo kwa kumrekebishia saa yake iliyokuwa nakawia kwa sekunde mbili, aliirekebisha kwa kuisikiliza tu, basi. Chandra akajitambulisha mwenyewe kwa Gabriel na kumpatia njia ya kuwasiliana naye na nakala ya kitabu chake, Activating Evolution.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]