Four Months Ago...

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Four Months Ago..."
Sehemu ya Heroes
Four Months Ago.jpg
Peter flies his brother to the hospital.
Sehemu ya. Sehemu 8
Imetungwa na Tim Kring
Imeongozwa na Greg Beeman
Tayarisho la 208
Tarehe halisi ya kurushwa November 12, 2007
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"Out of Time" "Cautionary Tales"
Orodha ya sehemu za Heroes

"Four Months Ago..." ni sehemu ya saba ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Kipengele hiki kilitungwa na mwanzilishi/matayarishaji mtendaji wa mfululizo huu Tim Kring na kuongozwa na mtayarishaji mtendaji Greg Beeman. lianza kurushwa hewani kwa mara ya kwanza mnamo tar. 12 Novemba, 2007. Kipengele hiki kinaelezea kile kilichotokea miezi minne baina ya msimu miwili ya mwanzo.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Peter anakumbana na Adam Monroe katika jengo moja hivi huko mjini Montreal. Adam anamsaidia Peter kurudisha kumbukumbu zake kwa nguvu yake ya kujiponya kwa kumfikiria ndugu yake , Nathan. Peter anapata kumbukumbu za kuja na kutoka za miezi mienzi iliyopita wakati Nathan anapaa na Peter anayemwekamweka juu ya anga ya Jiji la New York. Nathan aliendelea kuwa mwoga kadiri hali ya mlipuko ilivyozidi kuwa mbaya zaidi, na Peter akajitoa mikononi mwa kaka'ke, akitambua ya kwamba atamuua iwapo atalipuka.

Peter analipika, lakini anapaa tena kuja kumuokota Nathan kabla hajafika ardhini na kufa. Peter anamchukua Nathan aliyejeruhiwa vibaya mno hadi katika hospitali ya karibu, lakini baadaye anatwaliwa na Elle na Bob. Wanamchukua Peter hadi katika maangalizi ya kina Kampani na kumpa ahadi za kumtunza na kutibu nguvu zake, hivyo ataacha kuwa tishio kwa hao wanaomzunguka.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]