Fight or Flight (Heroes)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
"Fight or Flight"
Sehemu ya Heroes
Elle Bishop (Heroes TV series, episode 5).jpg
Elle shows her power by the docks.
Sehemu ya. Msimu 2
Sehemu 5
Imetungwa na Joy Blake and Melissa Blake
Imeongozwa na Lesli Glatter
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"The Kindness of Strangers" "The Line"
Orodha ya sehemu za Heroes

"Fight or Flight" ni sehemu ya tano ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Ilianza kurushwa hewani kwa mara ya kwanza mnamo tar. 22 Oktoba, 2007. Kipengele hiki kinamwoneshe Bi. Elle kwa mara yake ya kwanza katika mfululizo huu. Uhusika ulichezwa na Kristen Bell, alitengenezwa akiwa kama mshiriki wa kawaida katika mfululizo huu. David Anders (Takezo Kensei) pia amecheza kama mshiriki wa kawaida kuanzia katika kipengele hiki.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Wakati Peter Petrelli anayaweka sawa maisha yake mapya na Bi. Caitlin, binti mdogo aliyejulikana kwa jina la Elle – mara anaonekana kuwa na uwezo wa kuvuta nguvu za umeme katika mikono yake – akimtafuta Peter katika magati ya Cork. Kwa roho mbaya ya Will, akamwelekeza mdada huyo katika baa moja maarufu "Wandering Rocks Pub". Kwa bahati nzuri Ricky anapata habari za kwamba kuna mtu anamtafuta Peter na kumwambia Peter aende kujificha katika nyumba ya Caitlin, ana-kataa suala la kumshughulikia Elle kivyake-vyake. Wakiwa kwa Caitlin, Peter anaamua kufungua kile kisanduku, na kukuta vitu vingine ikiwa ni pamoja na pasipoti yake, tiketi ya ndege kutoka mjini New York hadi Montreal, na picha yake yeye na Nathan (ambaye hamtambui).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]