Distractions (Heroes)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Distractions"
Sehemu ya Heroes
Claude anazungumza na Peter kuhusu kudhibiti nguvu zake.
Claude anaanza kumfundisha Peter jinsi ya kudhibiti nguvu zake.
Sehemu ya. Msimu 1
Sehemu 14
Imetungwa na Michael Green
Imeongozwa na Jeannot Szwarc
Tayarisho la 114
Tarehe halisi ya kurushwa 5 Februari 2007
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"The Fix" "Run!"
Orodha ya sehemu za Heroes

"Distractions" ni sehemu ya kumi na nne ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Claude na Peter wanatembea wakiwa hawaonekani kwenye mitaa -lio na kazi nyingi huko mjini New York, ambapo Claude anamweleza Peter kwamba anafyonza nguvu za watu wengine kama tendohiari na hivyo basi atamsaidia kuweza kupata nguvu za kudhibiti hali ile.

Kwa ukaribu wake na Claude, Peter anaanza kuwachunguza watu aliokaribu nao. Claude anamshawishi Peter kwamba anahitajika amtoe akilini yule ampendaye kwa sababu wanamsabashia asitiliye maanani kile anachokifanya. Kwa maoni ya Claude, wawili hao wakamfuatilia Simone.

Mshauri wa kisaikolojia wa Niki anamwambia Niki anataka kuzungumza na Jessica. Anamwakikishia Niki kwamba pingu za mkononi mwake zaweza kuwa na tembo, na pia anaweza kutumia silaha yenye shoti ya umeme.

Baada ya kumfanyia hali ya ukusule kidogo, Niki anaanza kuzungumza jinsi Jessica alivyokuwa na kipaji cha kupiga piano na namna dada'ke alivyosema kwamba anaweza "kubadili Mozart kuwa ngedere." Kisha Jessica katokea na kuthibitisha kuwa kasema haya. Ka-kata pingu na kumvamia mwanasaikolojia kabla hajampunguza nguvu Jessica na kile chombo cha shoti.

Baadaye walinzi wanagundua kama Niki kalala sakafuni na mshauri wa kisaikolojia hajitambui, mkono umepinda si kikawaida, ikiwa na vipiga shoti kadhaa vikimuunguza kwenye jaketi lake. Baadaye, Aron Malsky anamtembelea Niki kwenye chumba chake. Anamwambia Niki kwamba mashtaka yote dhidi yake yameisha, shukrani kwa msaada wa Linderman. Niki anarudi nyumbani kuja kuungana na D.L na Micah, lakini bila wote wawili kujua, Jessica yu hatamuni.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]