Better Halves

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
"Better Halves"
Sehemu ya Heroes
Heroes s01 e06.jpg
D.L. anapigana na Niki.
Sehemu ya. Msimu 1
Sehemu 6
Imetungwa na Natalie Chaidez
Imeongozwa na Greg Beeman
Tayarisho la 106
Tarehe halisi ya kurushwa 30 Oktoba 2006
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"Hiros" "Nothing to Hide"
Orodha ya sehemu za Heroes

"Better Halves" ni sehemu ya sita ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Baada ya Peter kumalizia mchoro wa Isaac na kumweleza kuhusu Mustakabali wa ujumbe wa Hiro, "Save the cheerleader, save the world," muda huohuo Isaac anapokea simu nyingine ya kumchanganya kutoka kwa Hiro. Hata hiyo, mara hii Peter alikuwepo na akapokea yeye simu ile, na kutoa siri ya kwamba alikutana na Hiro wa Baadaye kwa Hiro na Ando. Kisha Peter akawaambia waje New York, hivyo wanaweza kutafakari nini cha kufanya baada ya hapo. Baada ya simu kukatika, Peter na Isaac wanajaribu kutafakari wapi pa kumpata kiongozi wa mashabiki kwa kutazama picha za Isaac, lakini Isaac akagundua kwamba Simone amechukua moja kati ya michoro yake ikauzwe.

Wakati Hiro na Ando wanajiandaa kuanza safari yao ya kishujaa kutoka mjini Las Vegas kuelekea New York, wakazuiwa na wacheza kamali wakubwa walio watapeli muda vile karibuni. Kawapatia kazi ambayo hawawezi kukataa: wamsaidie ashinde kete za juu kwenye mchezo wa karata. Wachezaji wakawa na mashaka na ushindi wa Hiro na Ando.

Ando akasema kwamba ilikuwa bahati tu kwao - Wajapani siku zote huwa na bahati. Wakati mchezo unaendelea, Ando kagundua kwamba mmoja kati ya wachezaji ana bunduki chini ya meza. Baada ya kumharakisha Hiro waende chooni kujadili namna ya kutoroka, wakasikia mmoja kati ya wacheza kamali anapiga mayowe, "Who invited her?", kilichofuata ni makelele ya fujo na mgongano-gongano wa chumba kwa nje.

Hiro anajaribu kusimamisha muda, lakini hakuwa na uwezo huo. Wakafungulia kidirisha cha nyuma ya choo kile na kutoroka katika eneo la tukio na kwenda kwenye gari lao. Hiro anakerekwa na ukosefu wa ushapavu wake. Ando anashauri labda baadaye mambo yatakuwa sawa, anaweza kurudisha masaa nyuma "na kutengua tukio lile." ("Heroes hawaanzi mwishoni mwa mwa safari yao - njia hiyo hawawezi kutengeneza filamu kuhusu hilo.") Kiasi fulani imefurahisha, Hiro anaingia ndani ya gari na Ando na wawili hao wanaanza safari yao kuelekea mjini New York.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]