Unexpected (Heroes)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
"Unexpected"
Sehemu ya Heroes
Heroes s01e16.jpg
"Fanya..jambo...usilotarajia!"
Sehemu ya. Msimu 1
Sehemu 16
Imetungwa na Jeph Loeb
Tayarisho la 116
Tarehe halisi ya kurushwa 19 Februari 2007
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"Run!" "Company Man"
Orodha ya sehemu za Heroes

"Unexpected" ni sehemu ya kumi na sita ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Washiriki wa kawaida Noah Gray-Cabey (Micah Sanders), Ali Larter (Niki Sanders) na Leonard Roberts (D.L. Hawkins) hawajaonekana kwenye kipengele hiki. Stan Lee anaingiza mwonekano wake kwenye sehemu hii akiwa kama dereva wa basi ambalo Hiro amepanda. Ingawa Ali Larter hakuonekana kwenye sehemu hii, ametia sauti ya Previously on Heroes, ambayo ni hiyo pekee ambayo imetiwa sauti na mwigine tangu kipande cha kwanza hadi sasa.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Nje kidogo ya jangwa la Nevada, Ted Sprague anaishi kwenye kijumba kidogo mbali kabisa ya makazi ya watu wa kawaida. Alishangazwa alivyoona kuna mtu anawasiliana naye kupitia ujumbe wa haraka kwenye laptop yake, japokuwa hajaunganisha kwenye Internet. Yule mtu asiyejulikana kajitambulisha yeye mwenyewe kama Hana Gitelman, mwanamke wa Kissraeli mwenye uwezo wa kufungua na kutumia mawasiliano ya redio na mitandao mingine kwa kutumia fikra zake. Amemfumbua mambo Ted kwamba zile alama walizonazo kwenye shingo zinatumiwa kuwasaka na Primatech Paper Co. Hana anamshawishi waongozane wote, kwa sababu yeye ana uwezo wa kumpata Mr. Bennet, halafu wa mlipue.

Claire Bennet, anakerekwa zaidi pale aonapo mama'ke hawezi kumkumbuka yeye wala Mr. Muggles, wakati anamwita ndugu yake aje chini kutoa msaada - anakuta mama'o yu salama na anawakumbuka wote wawili. Baadaye, Claire anajaribu kuanzisha mjadala unaohusu na suala la upumbazaji wa akili anaofanyiwa mama'ke. Wakati anaanza kumweleza mama'ke hapaswi kumwamini baba'ke na kuleta uwezekano wa hali ya mama kuwa mbaya zaidi, Sandra anapoteza fahamu na kuanguka jikoni. Claire anatoka mbio huku akimlilia, huku anathubutu kumwamsha mama'ke.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]