Lizards (Heroes)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
"Lizards"
Sehemu ya Heroes
Claire Bennet in Episode202.png
Claire cuts off her little toe.
Sehemu ya. Msimu 2
Sehemu 2
Imetungwa na Michael Green
Imeongozwa na Allan Arkush
Tayarisho la 202
Tarehe halisi ya kurushwa 1 October 2007
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"Four Months Later..." "Kindred"
Orodha ya sehemu za Heroes

"Lizards" ni sehemu ya pili ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Sehemu hii ilitungwa na Michael Green na kuongozwa na Allan Arkush. Ilianza kurushwa kwa mara ya kwanza mnamo tar. 1 Oktoba, 2007.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Majambazi ya Ki-Ireland ambao wamemkuta Peter Petrelli akiwa katiwa pingu ndani ya kontena la mizigo lililokuwa likimshikiria kama mateka. Wakamhoji maswali kwa mateso makali kuhusu mzigo wao uliopotea (zigo la iPod). Caitlin, dada wa Ricky, kiongozi wa majambazi, akaanza kumtibia Peter, ambaye hakuwa na uwezo hata wa kukumbuka jina lake. Caitlin anaelezea ya kwamba kitendo cha Ricky kushindwa kufikisha mzigo uliopotea wa iPods utamletea matatizo makubwa sana Ricky.

Caitlin na Peter kisha wakashangazwa kukuta majeraha yote aliyokuwa nayo Peter yametoweka. Peter kisha akajitorosha mwenyewe.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]