Four Months Later...

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Four Months Later..."
Sehemu ya Heroes

Hiro is stuck in 1671 and is running away from a horde of Samurai.
Sehemu ya. Msimu 2
Sehemu 1
Imetungwa na Tim Kring
Imeongozwa na Greg Beeman
Tayarisho la 201
Tarehe halisi ya kurushwa 24 Septemba 2007
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"How to Stop an Exploding Man" "Lizards"
Orodha ya sehemu za Heroes

"Four Months Later..." ni sehemu ya kwanza ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Sehemu hii ilitungwa na Tim Kring na kuongozwa na Greg Beeman. Ilirushwa kwa mara ya kwanza mnamo tar. 24 Septemba, 2007. Ilitolewa katika maduka ya iTunes kunako tar. 9 Septemba na katika mwonekano ang'avu (HD) bure kabisa.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Sehemu kubwa ya kipengele hiki kinachukua nafasi katika matukio kibao yaliyotokea katika hitimisho la msimu wa kwanza wa mfululizo huu. Katika hali ya wendo wa mfululizo huu, kipengele cha mwisho cha Msimu wa 1 kilichukua nafasi mnamo mwezi wa Novemba 2006, ambapo tarehe kamili ya kurushwa kwa kipengele hiki kilitangazwa kunako mwezi wa Machi 2007. Pia, sehemu za Hiro zinachukua nafasi akiwa katika mwaka wa 1671.

Mohinder Suresh amekuwa akitembea katika kila pande za dunia akitoa hotuba juu ya watu wenye vinasaba visivyo-vya-kawaida ambao yeye anaamini wanahusika kwa kiasi kikubwa na pigo kubwa la Kirusi cha Shanti. Amefuatwa na mtu asiyemfahamu aitwaye Bob, ambaye anajaribu kumpatia kazi katika kampuni ya siri. Bob anaonekana kuwa na uwezo wa kubadili vitu kuwa dhahabu ambapo hutumika kutoa fedha kwa ajili ya kusaadia kina Company.

Baadaye Mohinder anaonekana kumpigia simu Noah Bennet, inafichua ukweli wa kwamba hotuba za Mohinder ilikuwa janja-nyani ili kuwavuta "kina Company" ambapo Bennet alikuwa akifanya kazi hapo zamani, hivyo basi Mohinder, kwa mwongozo wa Noah, ataweza kuingisha kampuni akiwa ndani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]