Uislamu nchini Ivory Coast
Mandhari
Uislamu kwa nchi |
Waislamu wamo kwenye asilimia 38.6 ya idadi yote ya wakazi wa nchini Ivory Coast.[1] In Ivory Coast, Waslamu wanasali, wanafunga, na kutoa sadaka kama inavyohitajika na mafunzo ya Kiislamu, na walio wengi huenda hija na imefanywa kama kiada. Waislamu walio wengi wa Kiivoiri ni dhehebu la Sunni, wanaofuata mafundisho ya Imam Maliki.[2][3][4]
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Shule ya Kiislamu kwa ajili ya watoto nchini Ivory Coast.
-
Muislamu akisalisha huko ncnini Ivory Coast.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-31. Iliwekwa mnamo 2015-07-05.
- ↑ Noble Timothy Myers. The Huevolution of Sacred Muur Science Past and Present. uk. 72. Iliwekwa mnamo Mei 31, 2014.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Dissertation Abstracts International: The humanities and social sciences. Iliwekwa mnamo Mei 31, 2014.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Richard Brent Turner. Islam in the African-American Experience. uk. 130. Iliwekwa mnamo Mei 31, 2014.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
- This article incorporates public domain material from websites or documents of the Library of Congress Country Studies.