Nenda kwa yaliyomo

The Don Killuminati: The 7 Day Theory

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The Don Killuminati: The 7 Day Theory
The Don Killuminati: The 7 Day Theory Cover
Studio album ya Makaveli (2Pac)
Imetolewa 5 Novemba 1996
Imerekodiwa Can-Am Studios
Los Angeles, California
Agosti 1996
Aina West Coast hip hop, hip hop ya kisiasa
Urefu 59:24
Lebo Death Row/Interscope Records
Mtayarishaji Simon, Darryl Harper, Hurt-M-Badd, Makaveli, Reggie Moore, Dametrius Ship, Troy Staton
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Makaveli (2Pac)
All Eyez on Me
(1996)
The Don Killuminati: The 7 Day Theory
(1996)
Single za kutoka katika albamu ya The Don
  1. "Toss It Up"
  2. "To Live & Die in L.A."
  3. "Hail Mary."


The Don Killuminati: The 7 Day Theory ni albamu ya mwisho ya Tupac Shakur, chini ya jina jipya la Makaveli, aliimaliza kabla ya kifo chake na ya kwanza kutolewa baada ya kifo chake. Shakur alikamilisha ubunifu wa kila na kuweka jina la kava la albamu alama ambayo inaonyesha kiasi vyombo vya habari jinsi walivyomsulubisha. Albamu ilikamilika kabisa katika kipindi cha siku saba katika kipindi cha mwezi wa Agosti 1996[2]. Mashairi yaliandikwa na kurekodiwa katika siku tatu pekee na kui-mixi na kuchukua siku nyingine nne kwa kuikamalisha kabisa. Hizi ni miongoni mwa nyimbo zake za mwisho kabisa kabla ya kuuawa kwake mnamo 7 Septemba 1996.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
# Jina Mwimbaji Mtayarishaji Muda
1 "Intro/Bomb First (My Second Reply)" Makaveli; Darryl "Big D" Harper 4:56
2 "Hail Mary" Hurt M Badd 5:09
3 "Toss It Up"
  • Intro: Makaveli
  • Mstari wa kwanza: Makaveli
  • Mwimbaji wa kwanza: Danny Boy
  • Waimbaji wa pili: JoJo
  • Kiitikio: Danny Boy; K-Ci & JoJo
  • Mwimbaji wa tatu: K-Ci
  • Fourth vocalist: Aaron Hall
  • Mstari wa Pili: Makaveli
  • Outro: Makaveli
Dametrius Ship; Reggie Moore 5:06
4 "To Live & Die in L.A."
  • Intro: Makaveli
  • Mstari wa kwanza: Makaveli
  • Kiitikio: Val Young
  • Mstari wa Pili: Makaveli
  • Mstari wa Tatu: Makaveli
  • Outro: Makaveli
QDIII 4:33
5 "Blasphemy"
  • Intro: Makaveli
  • Mstari wa kwanza: Makaveli
  • Kiitikio: Prince Ital Joe
  • Mstari wa Pili: Makaveli
  • Mstari wa Tatu: Makaveli
  • Outro: Jamala Lesane
Hurt M Badd 4:38
6 "Life of an Outlaw"
  • Kiitikio: Bo-Roc of The Dove Shack
  • Mstari wa kwanza: Makaveli
  • Mstari wa Pili: Makaveli
  • Mstari wa Tatu: Young Noble; E.D.I. Mean; Kastro; Napoleon
Makaveli; Darryl "Big D" Harper 4:55
7 "Just Like Daddy"
  • Kiitikio: Makaveli
  • Mstari wa kwanza: E.D.I. Mean
  • Mstari wa Pili: Makaveli
  • Mstari wa Tatu: Yaki Kadafi; Young Noble
  • Outro: Makaveli
Hurt M Badd 5:07
8 "Krazy"
  • Intro: Makaveli
  • Kiitikio: Makaveli
  • Mstari wa kwanza: Makaveli
  • Mstari wa Pili: Makaveli
  • Mstari wa Tatu: Bad Azz
  • Outro: Makaveli
Darryl "Big D" Harper 5:15
9 "White Man'z World"
  • Intro: Makaveli
  • Mstari wa kwanza: Makaveli
  • Kiitikio: Darryl "Big D" Harper
  • Mstari wa Pili: Makaveli
  • Mstari wa Tatu: Makaveli
  • Outro: Makaveli
Darryl "Big D" Harper 5:38
10 "Me and My Girlfriend"**
  • Intro: Virginya Slim
  • Mstari wa kwanza: Makaveli & Virginya Slim
  • Kiitikio: Makaveli
  • Mstari wa Pili: Makaveli
  • Mstari wa Tatu: Makaveli
Makaveli; Hurt M Badd (Tyrone Wrice) ; Darryl "Big D" Harper 5:08
11 "Hold Ya Head"
  • Intro: Makaveli
  • Mstari wa kwanza: Makaveli
  • Kiitikio: Hurt M Badd
  • Mstari wa Pili: Makaveli
  • Mstari wa Tatu: Makaveli
  • Outro: Makaveli
Hurt M Badd (Tyrone Wrice) 3:58
12 "Against All Odds"
  • Intro: Makaveli
  • Kiitikio: Makaveli
  • Mstari wa Pili: Makaveli
  • Mstari wa Tatu: Makaveli
  • Outro: Makaveli
Makaveli, Hurt M Badd (Tyrone Wrice) 4:37

Chati za Albamu

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Albamu Chati
Billboard 200 Top R&B/Hip Hop Albums
1996 The Don Killuminati: The 7 Day Theory 1 1
Maelezo ya wimbo
"To Live & Die in L.A."
  • Imetolewa: 1996
  • B-side:
  • Billboard Hot 100:
  • Hot R&B/Hip-Hop Songs:
  • Hot Rap Tracks:
"Hail Mary"
  • Imetolewa: 1996
  • B-side:
  • Billboard Hot 100:
  • Hot R&B/Hip-Hop Songs:
  • Hot Rap Tracks: #8
"Toss It Up"
  • Imetolewa: 1996
  • B-side:
  • Billboard Hot 100:
  • Hot R&B/Hip-Hop Songs:
  • Hot Rap Tracks:
  1. XXL (2007). "Retrospective: XXL Albums". XXL Magazine, Desemba 2007 issue.
  2. Oktoba 2003 XXL Magazine
  1. REDIRECT 10<10>http://www.mvremix.com/urban/reviews/2002/makaveli.shtml</10>

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]



Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Don Killuminati: The 7 Day Theory kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.