Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya Makaizari wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Orodha ya Makaisari wa Roma)

Orodha hii inataja makaisari wa Dola la Roma kuanzia Kaizari Augusto hadi mwisho wa Dola la Roma Magharibi mwaka wa 476.

Nasaba ya Julio-Klaudio

[hariri | hariri chanzo]
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
16 Januari 27 KK hadi 19 Agosti AD 14 Augustus
19 Agosti 14 hadi 16 Machi 37 Tiberius
18 Machi 37 hadi 24 Januari 41 Gaius Caligula Ameuawa
24 Januari 41 hadi 13 Oktoba 54 Claudius Ameuawa kwa sumu
Oktoba 54 hadi 11 Juni 68 Nero Alijiua

Mwaka wa Makaizari Wanne

[hariri | hariri chanzo]
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
8 Juni 68 hadi 15 Januari 69 Galba Aliuawa na Otho
15 Januari 69 hadi 16 Aprili 69 Otho Alijiua
2 Januari 69 hadi 20 Desemba 69 Vitellius Aliuawa hadharani
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
1 Julai 69 hadi 24 Juni 79 Vespasian 70: Cheo cha Pontifex Maximus Pater Patriae
Kaisari-mshiriki;
angalia: Mwaka wa Makaizari Wanne
24 Juni 79 hadi 13 Septemba 81 Titus
14 Septemba 81 hadi 18 Septemba 96 Domitian Ameuawa
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
18 Septemba 96 hadi 27 Januari 98 Nerva  
28 Januari 98 hadi 7 Agosti 117 Trajan
11 Agosti 117 hadi 10 Julai 138 Hadrian
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
10 Julai 138 hadi 7 Machi 161 Antoninus Pius
7 Machi 161 hadi 17 Machi 180 Marcus Aurelius
7 Machi 161 hadi Machi 169 Lucius Verus Kaizari pamoja na Marcus Aurelius
175 hadi 175 Avidius Cassius Mnyang'anyi; alijitangaza kuwa kaizari: alitawala Misri na Syria tu; aliuawa na mwanajeshi
177 hadi 31 Desemba 192 Commodus Aliuawa

Nasaba ya akina Severi

[hariri | hariri chanzo]
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
1 Januari 193 hadi 28 Machi 193 Pertinax Alitambuliwa kuwa Kaizari na Septimius Severus; aliuawa na wanajeshi
28 Machi 193 hadi 1 Juni 193 Didius Julianus Alihukumiwa na Seneti; aliuawa kwenye Mlima wa Palatino
9 Aprili 193 hadi 4 Februari 211 Septimius Severus
193 hadi 194/195 Pescennius Niger Mdai: kaizari katika Syria
193/195 hadi 197 Clodius Albinus Mdai: kaizari katika Uingereza
198 hadi 8 Aprili 217 Caracalla
209 hadi 4 Februari 211 Geta Aliuawa na Caracalla
11 Aprili 217 hadi Juni 218 Macrinus Aliuawa kisheria
Mei 217 hadi Juni 218 Diadumenian Aliuawa kisheria
Juni 218 hadi 222 Elagabalus Ameuawa
13 Machi 222 hadi ?Machi 235 Alexander Severus Cheo cha Pontifex Maximus
Aliuawa

Watawala wakati wa taabu za karne ya 3

[hariri | hariri chanzo]
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
Februari/Machi 235 hadi Machi/Aprili 238 Maximinus Thrax Aliuawa na wanajeshi
mwanzo wa Januari/Machi 238 hadi mwisho wa Januari/Aprili 238 Gordian I Alijiua
mwanzo wa Januari/Machi 238 hadi mwisho wa Januari/Aprili 238 Gordian II Aliuawa katika vita
mwanzo wa Februari 238 hadi mwanzo wa Mei 238 Pupienus Aliuawa na wanajeshi wa Pretori
mwanzo wa Februari 238 hadi mwanzo wa Mei 238 Balbinus Aliuawa na wanajeshi wa Pretori
Mei 238 hadi Februari 244 Gordian III Aliuawa
240 hadi 240 Sabinianus Alijitangaza kuwa kaizari; alishindwa vitani
Februari 244 hadi Septemba/Oktoba 249 Philip Mwarabu Aliuawa kwenye vita na Decius
248 Pacatianus Alijitangaza kuwa kaizari; aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe
248 hadi 249 Iotapianus Mdai
248 Silbannacus Mnyang'anyi
249 hadi Juni 251 Decius Aliuawa vitani
249 hadi 252 Priscus Alijitangaza kuwa kaizari katika majimbo ya Mashariki
250 hadi 250 Licinianus Mdai
mwanzo wa 251 hadi 1 Julai 251 Herennius Etruscus Aliuawa vitani
251 Hostilian Alikufa na tauni
Juni 251 hadi Agosti 253 Gallus Aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe
Julai 251 hadi Agosti 253 Volusianus Aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe
Agosti 253 hadi Oktoba 253 Aemilian Aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe
253 hadi Juni 260 Valerian I Kaizari pamoja na Gallienus; alitekwa na Waajemi: alifariki kifungoni
253 hadi Septemba 268 Gallienus Kaizari pamoja na Valerian 253 hadi 260; aliuawa
260 Saloninus Kaizari pamoja na Gallienus; Aliuawa
258 au Juni 260 Ingenuus Alijitangaza kuwa kaizari
260 Regalianus Alitangazwa kuwa kaizari
260 hadi 261 Macrianus Major Alitangazwa kuwa kaizari; alishindwa na kuuawa vitani
260 hadi 261 Macrianus Minor Alitangazwa kuwa kaizari; alishindwa na kuuawa vitani
260 hadi 261 Quietus Mdai
261 hadi 261 au 262 Mussius Aemilianus Alitangazwa kuwa kaizari
268 hadi 268 Aureolus Alijitangaza kuwa kaizari; alijisalimisha kwa Claudius II Gothicus
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
260 hadi 268 Postumus
269 hadi 269 Laelianus Alijitangaza kuwa kaizari wa Dola la Gallia
269 hadi 269 Marius
269 hadi 271 Victorinus
270 hadi 271 Domitianus Alijitangaza kuwa kaizari wa Dola la Gallia
271 hadi 274 Tetricus I

Makaisari wa Illyria

[hariri | hariri chanzo]
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
268 hadi Agosti 270 Claudius II Gothicus Alikufa na tauni
Agosti 270 hadi Septemba 270 Quintillus Kaizari pamoja na Aurelian; Alijiua
Agosti 270 hadi 275 Aurelian Kaizari pamoja na Quintillus; Aliuawa na wanajeshi wa Pretori
271 hadi 271 Septimius Alitangazwa kuwa kaizari katika Dalmatia; aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe
Novemba/Desemba 275 hadi Julai 276 Tacitus Aliuawa
Julai 276 hadi Septemba 276 Florianus Aliuawa
Julai 276 hadi mwisho wa Septemba 282 Probus Aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe
280 Saturninus Mdai: alilazimishwa na wanajeshi wake mwenyewe; alijitangaza kuwa kaizari; aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe
280 Proculus Mdai: alipokea ombi la wenyeji wa Lugdunum; aliuawa na Probus
280 Bonosus Alijitangaza kuwa kaizari; alishindwa na Probus na alijiua
Septemba 282 hadi Julai/Agosti 283 Carus
Machi/Mei 283 hadi Juni/Agosti 285 Carinus Kaizari pamoja na Numerian; Aliuawa
Julai/Agosti 283 hadi Novemba 284 Numerian Kaizari pamoja na Carinus
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
286 hadi 293 Carausius
293 hadi 297 Allectus

Nasaba ya akina Konstantin

[hariri | hariri chanzo]
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
20 Novemba 284 hadi 1 Mei 305 Diocletian Kaizari pamoja na Maximian; alijiuzulu
1 Aprili 286 hadi 1 Mei 305 Maximian Kaizari pamoja na Diocletian; alilazimishwa kujiuzulu
1 Mei 305 hadi 25 Julai 306 Constantius I Chlorus Kaizari pamoja na Galerius
1 Mei 305 hadi Mei 311 Galerius Kaizari pamoja na Constantius I Chlorus, halafu pamoja na Severus II
Agosti 306 hadi 16 Septemba 307 Severus II Kaizari pamoja na Galerius
307 hadi 308 Maximian Alijiuzulu
28 Oktoba 306 hadi 28 Oktoba 312 Maxentius Alishindwa na Konstantino I vitani
kisheria: 307, kulingana na matukio 312 hadi 22 Mei 337 Konstantino I Kufani alibatizwa kuwa Mkristo wa Kiario
308 Domitius Alexander Alijitangaza kuwa kaizari
11 Novemba 308 hadi 18 Septemba 324 Licinius Kaizari-mshiriki; alijiuzulu akauawa kisheria mwanzo wa 325
1 Mei 310 hadi Julai/Agosti 313 Maximinus Daia Kaizari-mshiriki; alijiua
Desemba 316 hadi 1 Machi 317 Valerius Valens Kaizari pamoja na Licinius; aliuawa kisheria na Konstantino Mkuu
Julai hadi 18 Septemba 324 Martinianus Kaizari pamoja na Licinius; alijiuzulu akauawa kisheria mwanzo wa 325
337 hadi 340 Konstantino II Kaizari-mshiriki; aliuawa vitani
337 hadi 361 Constantius II Kaizari-mshiriki
337 hadi 350 Constans I Kaizari-mshiriki; aliuawa na Magnentius
Januari 350 hadi 11 Agosti 353 Magnentius Mnyang'anyi; alijiua
mnamo 350 Vetranio Alijitangaza kuwa kaizari dhidi ya Magnentius; alitambuliwa na Constantius II, akajiuzulu
mnamo 350 Nepotianus Alijitangaza kuwa kaizari dhidi ya Magnentius, aliuawa kisheria
Novemba 361 hadi Juni 363 Juliani Mwasi Aliasi Ukristo akauawa vitani
363 hadi 17 Februari 364 Jovian Alikufa kwenye ajali
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
26 Februari 364 hadi 17 Novemba 375 Valentinian I Kaizari wa Roma Magharibi
28 Machi 365 hadi 9 Agosti 378 Valens Kaizari wa Roma Mashariki
Septemba 365 hadi 27 Mei 366 Procopius Mnyang'anyi; aliuawa kisheria na Valens
24 Agosti 367 hadi 383 Gratian Aliuawa
375 hadi 392 Valentinian II Aliondoshwa madarakani akafa katika mazingira ya kutatanisha
383 hadi 388 Magnus Maximus Mdai kwenye Magharibi; kwanza alitambuliwa na Theodosius I, halafu aliondoshwa madarakani na kuuawa kisheria
mnamo386 hadi 388 Flavius Victor Mwana wa Magnus Maximus, aliuawa kwa amri ya Theodosius I
392 hadi 394 Eugenius Mnyang'anyi kwenye Magharibi; aliuawa vitani
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
388 hadi 17 Januari 395 Theodosius I Mkuu Kaizari-mshiriki; Kaizari wa Roma Mashariki tangu 379
383 hadi Januari 395 Arcadius Alianza kuwa Kaizari wa Roma Mashariki Januari 395
23 Januari 393 hadi 395 Honorius Baadaye alikuwa Kaizari wa Roma Magharibi tu
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
395 hadi 15 Agosti 423 Honorius Kaizari pamoja na Constantius III (421)
407 hadi 411 Constantine III Mdai
409 hadi 411 Constans II Mdai, alitawala pamoja na Constantine III
409 hadi 410 Priscus Attalus Mdai
409 hadi 411 Maximus Mdai katika nchi ya Hispania
411 hadi 413 Jovinus Mdai
412 hadi 413 Sebastianus Mdai, alitawala pamoja na Jovinus
414 hadi 415 Priscus Attalus Mdai
421 hadi 421 Constantius III Kaizari pamoja na Honorius
423 hadi 425 Joannes Mdai
425 hadi 16 Machi 455 Valentinian III
17 Machi 455 hadi 31 Mei 455 Petronius Maximus
Juni 455 hadi 17 Oktoba 456 Avitus
457 hadi 2 Agosti 461 Majorian Alijiuzulu akauawa
461 hadi 465 Libius Severus
12 Aprili 467 hadi 11 Julai 472 Anthemius Aliuawa kisheria
Julai 472 hadi 2 Novemba 472 Olybrius
5 Machi 473 hadi Juni 474 Glycerius Alijiuzulu
Juni 474 hadi 25 Aprili 480 Julius Nepos Kaizari wa Roma Magharibi hadi 475, aliondoshwa madarakani na Orestes akakimbia; tangu 476 alitambuliwa na Odoacer; aliuawa 480
31 Oktoba 475 hadi 4 Septemba 476 Romulus Augustus
(Romulus Augustulus)
Aliondoshwa madarakani na Odoacer; hali yake ya baadaye haijulikani

Baada ya Dola la Roma Magharibi kukomeshwa, sehemu za Italia zilitawaliwa na wafalme wa mataifa mengine.

Dola la Roma Mashariki

[hariri | hariri chanzo]
Miaka ya Utawala Jina la Kaizari Maelezo
395 hadi 408 Arcadius
408 hadi 450 Theodosius II
450 hadi 457 Marcian
457 hadi 474 Leo I
474 hadi 474 Leo II
474 hadi 491 Zeno
475 hadi 476 Basiliscus

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]