Kaizari Geta
Mandhari
(Elekezwa kutoka Publius Septimius Geta)
Publius Septimius Geta (7 Machi 189 – Desemba 211) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia mwaka wa 209 hadi kifo chake. Kwanza alitawala pamoja na baba yake, Septimius Severus, na baada ya kifo chake, pamoja na kaka yake Caracalla aliyemuua.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Geta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |