Volusianus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu la Volusianus

Volusianus (alifariki 253) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Novemba 251 hadi kifo chake mnamo Agosti 253, alipouawa na askari wake.

Aliwafuata Decius na Herennius Etruscus akafuatwa na Aemilianus.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Volusianus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.