Nenda kwa yaliyomo

Elagabalus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya kichwa cha Kaizari Elagabalus

Elagabalus au Heliogabalus (takriban 20311 Machi 222) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 16 Mei, 218 hadi kifo chake. Alimfuata Macrinus.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elagabalus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.