Valerius Valens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Valerius Valens

Valerius Valens (alifariki 1 Machi 317) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma pamoja na Licinius kwa miezi michache kuanzia mwishoni mwa 316 hadi mwanzoni mwa 317.

Alimfuata Konstantino Mkuu na kufuatwa naye.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Valerius Valens kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.