Diadumenian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
sanamu ya Diadumenian

Diadumenian (kwa Kilatini: Marcus Opellius Antoninus Diadumenianus Augustus; Septemba 208218), alikuwa mtoto wa kaisari Macrinus na alitawala pamoja naye kwa muda mfupi (Mei 217–218) kabla ya wote wawili kuuawa na wanajeshi wa vikosi kutoka Syria waliompandisha Elagabalus kuwa Kaisari mpya.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diadumenian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.