Carinus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu la Carinus

Carinus (alifariki 285) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 283 hadi kifo chake.

Alimfuata baba yake Carus na kufuatwa na Diokletian.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Capitoline she-wolf Musei Capitolini MC1181.jpg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carinus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.