Gordian I
Mandhari
Marcus Antonius Gordianus Sempronianus Romanus Africanus au Gordian I (takriban 159 – 12 Aprili, 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma, pamoja na mwana wake Gordian II, kuanzia 22 Machi, 238 hadi kifo chake. Walimfuata Maximinus Thrax ambaye waliasi dhidi yake.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gordian I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |