Nasaba ya akina Theodosius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu la Theodosius I

Nasaba ya akina Theodosius ilikuwa nasaba ya Makaizari wa Roma. Ilianzia mwaka wa 379 na Theodosius Mkuu. Iliendelea na wana wake Honorius katika Dola la Roma Magharibi, na Arcadius katika Ufalme wa Byzantini.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]