Romulus Augustus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Romulus Augustus

Flavius Romulus Augustus (takriban 463 – baada ya 476) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Magharibi kuanzia 31 Oktoba, 475 hadi 4 Septemba, 476. Alimfuata Julius Nepos akiwa kaizari wa mwisho wa dola hilo upande wa Magharibi. Hali yake baada ya kuondoshwa madarakani haijulikani kwa uhakika.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Romulus Augustus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.