Nasaba ya Nervo-Traiani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Nasaba ya Nervo-Trajani ilikuwa nasaba ya Makaizari wa Roma. Ilidumu kuanzia 96 hadi 138 chini ya utawala wa Nerva, Trajan na Hadrian.