Alexander Severus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya kichwa cha Kaizari Alexander Severus

Alexander Severus (1 Oktoba, 208 – 18 au 19 Machi, 235) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 11 Machi, 222 hadi kifo chake. Alimfuata Elagabalus.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexander Severus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.