Nenda kwa yaliyomo

Olybrius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shaba inayoonyesha Kaizari Olybrius

Anicius Olybrius alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Magharibi kwa miezi michache tu kuanzia 11 Julai, 472 hadi kifo chake tarehe 23 Oktoba, 472. Alimfuata Anthemius.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Olybrius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.