Nenda kwa yaliyomo

Jovian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jovian (331 - 17 Februari 364) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kwa miezi minane kuanzia 363 hadi kifo chake.

Alimfuata Juliani Mwasi na kurudisha Ukristo kuwa dini rasmi ya dola bila kuzuia dini nyingine.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jovian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.