Majina ya maeneo ya kihistoria ya Afrika
Mandhari
Hii ni orodha ya majina ya maeneo ya kihistoria ya Afrika. Majina kushoto yanaunganishwa na sehemu zinazofanana kutoka Historia ya Afrika.
- Axum - Eritrea na Ethiopia
- Mauritania Tingitana - Moroko
- Afrika - Tunisia
- Barbary Coast - Algeria
- Bechuanaland - Botswana
- Kongo ya Kibelgiji - Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- Karthago - Tunisia
- Dola la Afrika ya Kati - Jamhuri ya Afrika ya Kati
- Nchi Huru ya Kongo - Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- Dahomey - Benin
- Equatoria - Sudan na Uganda
- Fernando Pó - Bioko
- Kongo ya Kifaransa - Gabon na Republic of the Congo
- Afrika ya Ikweta ya Kifaransa - Chad, Central African Republic, Gabon na Jamhuri ya Kongo
- Sudan ya Kifaransa - Mali
- Afrika Magharibi ya Kifaransa - Mauritania, Senegal, Mali, Guinea, Côte d'Ivoire, Niger, Burkina Faso, na Benin
- Afrika Mashariki ya Kijerumani - Tanzania, Rwanda na Burundi
- German South-West Africa - Namibia
- Gold Coast - Ghana
- Guinea
- Grain Coast au Pepper Coast - Liberia
- Jamhuri ya Malagasy - Madagaska
- Mdre Bahri -Eritrea
- Mwene Mtapa - Zimbabwe, Afrika Kusini, Lesotho, Eswatini, Msumbiji na sehemu za Namibia na Botswana
- Kongo ya Kati - Jamhuri ya Kongo
- Nubia - Sudan na Misri
- Numidia - Algeria, Libya na Tunisia
- Nyasaland - Malawi
- Pentapoli (Afrika Kaskazini) - Libya
- Guinea ya Kireno - Guinea-Bissau
- Rhodesia -
-
- (Southern Rhodesia iliitwa Rhodesia tu miaka 1964 - 1980)