Rhodesia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rhodesia ni jina la kihistoria kwa ajili ya maeneo ya nchi za kisasa Zimbabwe na Zambia wakati wa ukoloni kuanzia 1895.

Lamaanisha hasa nchi za

  • Rhodesia ya Kusini (Zimbabwe) iliyojulikana kama "Rhodesia" tu kati ya 1964 na 1979 pia kama Zimbabwe-Rhodesia mwaka 1979 kabla ya kuitwa "Zimbabwe" pekee.
  • Huko Uingereza kuna pia kijiji kinachoitwa "Rhodesia" katika wilaya ya Nottinghamshire takriban kilomita 30 kusini ya mji wa Sheffield. Haina uhusiano na historia ya jina la nchi za Afrika.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.