Equatoria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Equatoria ni kanda la Sudan Kusini linalojumuisha majimbo ya Equatoria Magharibi, Equatoria ya Kati na Equatoria Mashariki ambayo yote yanaenea kusini kabisa mwa nchi hiyo.

Hadi uhuru wa Sudan Kusini kwenye mwaka 2010 ilikuwa mkoa wa Sudan.

Kwa jumla ni kilometa mraba 195,848 zenye wakazi 3,400,000 hivi (2014)

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Equatoria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.