Korepiskopo
Mandhari
Korepiskopo (kutoka Kigiriki: Χωρεπίσκοπος, yaani askofu wa vijijini) ni cheo cha madhehebu mbalimbali ya Ukristo, hasa wa Mashariki na karne za nyuma, kuanzia karne ya 2[1].
Cheo hicho kinahesabika kati ya kile cha padri na kile cha askofu[2].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ott, Michael T. (1913). "Chorepiscopi". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company.
- ↑ Doueihi, STD, Bishop Stephen Hector (2008). The Maronite Pontifical. Richmond, VA: Saint Maron Publications. uk. 376.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Zaplotnik, John Leo (1927). De vicariis foraneis. "Chapter IV." (Kilatini). Washington: Catholica universitas Americae, 1927.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Korepiskopo kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |