27 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Januari 27)
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1695: Mustafa II anachukua nafasi ya Sultani wa Milki ya Osmani badala ya Ahmad II aliyefariki.
Waliozaliwa [hariri]
- 1756 - Wolfgang Amadeus Mozart (mwanamuziki Mwaustria)
- 1903 - John Eccles, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 1936 - Samuel Ting (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1976)
Waliofariki [hariri]
- 98 - Nerva, Kaisari wa Roma (tangu 96)
- 672 - Papa Vitalian
- 1540 - Mtakatifu Angela Merichi, mtawa wa Italia
- 1901 - Giuseppe Verdi, mtunzi wa opera kutoka Italia