Nenda kwa yaliyomo

Waorthodoksi wa Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Waorthodoksi wa mashariki)
Asilimia ya Waorthodoksi wa Mashariki nchi kwa nchi:      zaidi ya 75%      50–75%      20–50%      5–20%      1–5%      chini ya 1%, lakini wenye haki ya kujitegemea


Waorthodoksi wa Mashariki ni jina linalotumika pengine kuhusu Wakristo wa Makanisa ya Mashariki ambayo katika karne ya 5 yalitengana na Wakatoliki na Waorthodoksi kwa kutokubali uamuzi wa mojawapo kati ya Mitaguso ya kiekumeni, hasa ile ya Efeso (431) na Kalsedonia (451).

Makanisa hayo ni ya kitaifa, kama vile:

Jumla ya waumini ni milioni 84 hivi, wengi wao wakiwa Waethiopia.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waorthodoksi wa Mashariki kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.