Nenda kwa yaliyomo

Usharika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Usharika ni eneo la Kanisa la Kilutheri linaloongozwa na mchungaji.

Unajumuisha maeneo yote yaliyo chini yake yakiongozwa na wainjilisti.

Unafanana na parokia au parishi ya madhehebu mengine ya Ukristo.

Sharika kadhaa zinaunda jimbo, na majimbo kadhaa yanaunda dayosisi.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Usharika kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.