Mwinjilisti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Billy Graham akihubiri Düsseldorf, Ujerumani (1954).

Mwinjilisti (kutoka neno Injili; kwa Kiingereza "Evangelist") ni Mkristo mwenye utume wa kuhubiri na kutoa elimu ya Biblia na maadili ya Kikristo katika madhehebu kadhaa ya Uprotestanti.

Majukumu yake yanafanana na yale ya katekista au ya shemasi wa Kanisa Katoliki.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwinjilisti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.