Mashahidi wa Yehova : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
→‎Hoja dhidi yao: mashahidi wa Yehova
d Masahihisho aliyefanya 41.75.223.148 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Per excellence
Tag: Rollback
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Watchtower Bible & Tract Society (world headquarters).jpg|thumb|200px|MAKAO MAKUU YA MASHAHIDI WA YEHOVA, Warwick ,New York]]
[[Picha:Watchtower Bible & Tract Society (world headquarters).jpg|thumb|200px|Makao makuu ya kimataifa huko [[Brooklyn]], [[New York]], Marekani.]]
{{Ukristo}}
{{Ukristo}}
'''<big>MASHAHIDI WA YEHOVA:</big>''' (kwa [[Kiingereza]] '''Jehovah's Witnesses''') ni wafuasi wa [[dini]] jamii ya [[Ukristo]] ambayo ilianzia [[Marekani]] na kuenea [[ulimwengu|ulimwenguni]] kote.
'''Mashahidi wa Yehova''' (kwa [[Kiingereza]] '''Jehovah's Witnesses''') ni wafuasi wa [[dini]] jamii ya [[Ukristo]] ambayo ilianzia [[Marekani]] na kuenea [[ulimwengu|ulimwenguni]] kote.


Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini [[Yesu]] kuwa [[Mungu]] sawa na [[Baba]], wala [[Roho Mtakatifu]] kuwa [[nafsi]], na kwa jumla hawakubali [[imani]] katika [[Utatu]] wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo [[madhehebu]] mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali [[ubatizo]] wao.
Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini [[Yesu]] kuwa [[Mungu]] sawa na [[Baba]], wala [[Roho Mtakatifu]] kuwa [[nafsi]], na kwa jumla hawakubali [[imani]] katika [[Utatu]] wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo [[madhehebu]] mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali [[ubatizo]] wao.
Mstari 10: Mstari 10:


== Hoja dhidi yao ==
== Hoja dhidi yao ==
Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, [[katazo|Kutokubali Matibabu yanayohusisha DAMU]], mara kadhaa wamekataa kujiunga na Jeshi kwasababu ya Dhamiri, Kusalimu Bendera za Taifa au Kuimba nyimbo za Taifa , pamoja na jinsi Huduma yao inavyogharimikiwa na Msimamo wao wa kutounga mkono Upande wowote katika SIASA au HARAKATI.
Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, [[katazo]] la [[utoaji damu]], mara kadhaa za [[utabiri]] wao kutotimia hasa kuhusu mambo ya mwisho, pamoja na jinsi waumini wanavyofuatiliwa na kushinikizwa.


Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini [[Tanzania]] wakati wa [[urais]] wa [[Julius Nyerere]] .
Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini [[Tanzania]] wakati wa [[urais]] wa [[Julius Nyerere]] au bado ni marufuku.


Wenyewe wamekataa daima lawama hizo, lakini kila mwaka wengi wanajitenga nao.
Kazaksatan,Eritrea na sasa wamepigwa Marufuku nchini URRUSI na Biblia yenye tafsili sahihi na lugha ya kisasa ya ULIMWENGU MPYA{New world translation} I metangazwa kuwa UCHOCHEZI {Extremist} Na wao kutangazwa kuwa watu wenye msimamo mkali wa kidini hali inayovunja UHURU WA IBADA na KUKATAA KUJIUNGA NA JESHI KWASABABU YA DHAMIRI.


==Tanbihi==
==Tanbihi==
Mstari 39: Mstari 39:
=== Tovuti rasmi ===
=== Tovuti rasmi ===
* [http://www.jw.org/sw/ Mashahidi wa Yehova]
* [http://www.jw.org/sw/ Mashahidi wa Yehova]
* [http://tv.jw.org/#sw Mashahidi wa Yehova]
* [http://www.jw.org/swc/ Mashahidi wa Yehova]


=== Tovuti nyingine ===
=== Tovuti nyingine ===

Pitio la 07:22, 3 Januari 2018

Makao makuu ya kimataifa huko Brooklyn, New York, Marekani.


Mashahidi wa Yehova (kwa Kiingereza Jehovah's Witnesses) ni wafuasi wa dini jamii ya Ukristo ambayo ilianzia Marekani na kuenea ulimwenguni kote.

Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini Yesu kuwa Mungu sawa na Baba, wala Roho Mtakatifu kuwa nafsi, na kwa jumla hawakubali imani katika Utatu wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo madhehebu mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali ubatizo wao.

Mwanzilishi alikuwa Charles Taze Russell pamoja na kikundi cha wanafunzi wa Biblia (miaka ya 1870). Jina la sasa lilianza kutumika mwaka 1931.

Kwa sasa wako milioni 8.3 katika jumuia 119,485 (kadiri ya Kitabu cha Mwaka 2017 cha Mashahidi wa Yehova[1]). Ongezeko ni la asilimia 1.8 kwa mwaka.[2]

Hoja dhidi yao

Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, katazo la utoaji damu, mara kadhaa za utabiri wao kutotimia hasa kuhusu mambo ya mwisho, pamoja na jinsi waumini wanavyofuatiliwa na kushinikizwa.

Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini Tanzania wakati wa urais wa Julius Nyerere au bado ni marufuku.

Wenyewe wamekataa daima lawama hizo, lakini kila mwaka wengi wanajitenga nao.

Tanbihi

  1. 2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.
  2. 2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Tovuti rasmi

Tovuti nyingine

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.