Charles Taze Russell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Charles Taze Russell

Charles Taze Russell (16 Februari 185231 Oktoba 1916), ni mwanzilishi wa "Wanafunzi wa Biblia", ambao leo ni Mashahidi wa Yehova na makundi mengine ya Ukristo.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Taze Russell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.