Nenda kwa yaliyomo

Baraza la mawaziri Tanzania 2015

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Baraza la Mawaziri la Tanzania ni ngazi ya juu ya serikali au mkono wa utendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mfumo wa mgawanyo wa madaraka.

Baraza hili linaundwa na rais, makamu wa rais, rais wa Zanzibar, waziri mkuu na mawaziri wote. [1] Manaibu mawaziri si sehemu ya baraza. Mwanasheria Mkuu anashiriki katika mikutano ya baraza lakini hana haki ya kupiga kura katika mikutano hiyo.

Mikutano ya baraza huongozwa na Rais kama mwenyekiti, kama Rais hayupo basi mikutano hiyo huongozwa na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo mikutano hiyo huongozwa na Waziri Mkuu.[2]

Serikali iliyotangazwa na John Magufuli, rais wa tano wa Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 mnamo tarehe 10 Desemba 2015. Isipokuwa nafasi 4 zilichelewa kutajwa majina hadi tarehe 23 Desemba, na hapo waliingia Jumanne Maghembe, Philip Mpango, Gerson Lwenge na Joyce Ndalichako. Siku hiyohiyo Makame Mbarawa alihamishwa kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwenda Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

Chama anachotoka Chama Cha Mapinduzi
Baraza la mawaziri la Tanzania: mwishoni mwa mwaka 2015[3][4][5]
Picha Majukumu Jina
Raisi
Amiri jeshi mkuu
Dr. John Magufuli
Makamu wa Rais Samia Suluhu
Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Faili:Abdallah Ulega.jpg Kilimo Abdallah Hamis Ulega
Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi
TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora
Selemani Said Jafo
Madini Angellah Kairuki
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais
Masuala ya Muungano, Mazingira
January Makamba
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Jenista Mhagama
Mifugo na Uvuvi Luhaga Joelson Mpina
Sheria na Katiba Professor. Paramagamba John Aidan Mwaluko Kabudi
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Ali Mwinyi
Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Professor. Joyce Lazaro Ndalichako
Faili:Medard Kalemani.jpg Nishati Medard Matogolo Kalemani
Wizara ya Fedha na Mipango Dr. Philip Mpango
Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dr. Augustine Philip Mahiga
Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Ally Mwalimu
Mambo ya Ndani Kangi Alphaxard Lugola
Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles John Mwijage
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
Maliasili na Utalii Hamisi Andrea Kigwangalla
Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa Mnyaa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Isack Aloyce Kamwelwe
(anahudhuria mikutano ya baraza la mawaziri bila kupiga kura
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Dr. Adelardus Kilangi
  1. "Cabinet of Tanzania". tanzania.go.tz. May 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-04-18. Iliwekwa mnamo May 2012. {{cite web}}: Check date values in: |accessdate= (help); Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
  2. "Katiba ya Tanzania, fungu 54" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2010-12-17. Iliwekwa mnamo 2015-12-11.
  3. "Baraza la Mawaziri". Ikulu. 10 Desemba 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-12-22. Iliwekwa mnamo 11 Desemba 2015. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Magufuli releases long awaited cabinet", 10 December 2015. Retrieved on 2015-12-11. Archived from the original on 2015-12-14. 
  5. Chama Cha Mapinduzi [@ccm_tanzania] (10 Desemba 2015). "Rais Magufuli atangaza Baraza la Mawaziri" (Tweet) (kwa Swahili). Iliwekwa mnamo 10 Desemba 2015 – kutoka Twitter. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Wizara za Serikali ya Tanzania Orodha_ya_Mawaziri_Wakuu_wa_Tanzania