Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya hospitali nchini Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya hospitali nchini Tanzania (baadhi tu).

Zimetumika alama hizi: * KKKT=Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, ** KKT=Kanisa Katoliki Tanzania; *** Kanisa Anglikana; **** Makanisa mengine (M)= Moravian, (B) Baptist.

Mkoa wa Arusha

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Nkoaranga * Arusha http://health.elct.org/nkoaranga/
Hospitali ya NSK ** Arusha
Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre* Arusha http://almec.or.tz Ilihifadhiwa 25 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine.
Hospitali ya Mount Meru** Arusha
Hospitali ya Wasso ** Loliondo
Hospitali ya Karatu * Karatu http://health.elct.org/karatu/

Mkoa wa Dar es Salaam

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
AAR Chato Clinic Dar es Salaam http://www.aarhealth.com/
Hospitali ya Aga Khan *** Dar es Salaam http://www.agakhanhospitals.org/
IST Clinic Dar es Salaam http://www.istclinic.com/
Hospitali ya Ocean Road Dar es Salaam http://www.orci.or.tz/
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Salaam http://www.mnh.or.tz/

Mkoa wa Dodoma

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Dodoma Christian Medical Centre Dodoma http://www.dthd.org/
Itololo Health Centre ** Itololo, Masange
Hospitali ya Kongwa Kongwa
Lumuna Health Centre (St. Gemma) ** Lumuma st-gemmas-health-centre-lumuma
Hospitali ya Mpwapwa Mpwapwa
Hospitali ya Mvumi Mvumi Mission

Mkoa wa Iringa

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Bulongwa * Bulongwa http://health.elct.org/bulongwa/
Hospitali ya Ilembula * Ilembula http://health.elct.org/ilembula/
Hospitali ya Ikonda ** Ikonda, Makete
Hospitali ya Ilula * Magombe http://health.elct.org/ilula/
Hospitali ya Mt. Yohane ** Lugarawa
Hospitali ya Tosamaganga (Mt. Yohane)** Tosamaganga

Mkoa wa Kagera

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Mt. Yosefu ** Kagondo
Hospitali ya Ndolage * Kamachumu http://health.elct.org/ndolage/
Hospitali ya Rubya Rubya, Muleba
Hospitali ya Nyakahanga * Nyakahanga http://health.elct.org/nyakahanga/

Mkoa wa Kigoma

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Kigoma Baptist Hospital **** (B) Kigoma

Mkoa wa Kilimanjaro

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Bwambo Health Centre ** Bwambo
Kilimanjaro Christian Medical Centre * Moshi http://www.kcmc.ac.tz/
Hospitali ya Gonja * Same http://health.elct.org/gonja/
Hospitali ya Huruma ** Huruma, Rombo
Hospitali ya Kibosho ** Kibosho Kati
Hospitali ya Kilema ** Kilema Kati
Hospitali ya Machame * Moshi http://www.machamehospital.org/ Ilihifadhiwa 20 Mei 2011 kwenye Wayback Machine.
Hospitali ya Marangu * Moshi http://health.elct.org/marangu/
Hospitali ya Ngoyoni Ngoyoni, Rombo

Mkoa wa Lindi

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hopitali ya Nyangao (Mt. Walburga) ** Nyangao http://www.nyangaohospital.com/ Ilihifadhiwa 4 Februari 2020 kwenye Wayback Machine.
Hospitali ya Mnero ** Mnero
Hospitali ya Mt. Martin ** Kipatimu, Mtua

Mkoa wa Manyara

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Dareda Hospital ** Dareda
Hospitali ya Haydom * Mbulu http://www.haydom.no/

Mkoa wa Mara

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Bunda * Bunda http://health.elct.org/bunda/

Mkoa wa Mbeya

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Chimala Chimala http://www.chimalahospital.org/ Ilihifadhiwa 17 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
Hospitali ya Igogwe ** Igogwe
Hospitali ya Itete * Tukuyu http://health.elct.org/itete/
Hospitali ya Litembo ** Litembo
Liuli Health Centre ** Liuli
Kigonsera Health Centre ** Kigonsera
Magu Health Centre ** Magu
Hospitali ya Matema * Ipinda http://health.elct.org/matema/
Mpapa Health Centre ** Mpapa
Hospitali ya Mbozi **** (M) Mbozi
Hospitali ya Mwambani ** Mwambani
Hospitali ya Ruanda ** Ruanda
Hospitali ya Wilaya ya Vwawa Vwawa

Mkoa wa Morogoro

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Berega Morogoro
Hospitali ya Mt. Fransisko ** Ifakara
Hospitali ya Mt. Fransisko ** Turiani
Hospitali ya Lugala * Malinyi http://health.elct.org/lugala/

Mkoa wa Mtwara

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Mt. Benedikto ** Ndanda, Masasi

Mkoa wa Mwanza

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Bugando Medical Centre Mwanza http://www.bugandomedicalcentre.go.tz/
Hospitali ya Bunda * Bunda

Mkoa wa Pwani

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Tumbi Kibaha

Mkoa wa Pemba Kusini

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti

Mkoa wa Pemba Kaskazini

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti

Mkoa wa Ruvuma

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Mt. Yosefu ** Peramiho

Mkoa wa Rukwa

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Dr Atman hospital Sumbawanga

Mkoa wa Singida

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Kilimatinde Kilimatinde

Mkoa wa Shinyanga

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Kolandoto Kolandoto

Mkoa wa Tabora

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Ndala Ndala

Mkoa wa Tanga

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Bumbuli * Bumbuli http://health.elct.org/bumbuli/
Kwediboma Health Centre ** Kwediboma
Hospitali ya Lutindi * Lutindi http://health.elct.org/lutindi/
Hospitali ya Teule Muheza

Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Hospitali ya Al Rahma Zanzibar
Hospitali ya Tawaqal Zanzibar
Hospitali ya Global Zanzibar
Hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar

Mkoa wa Unguja Kaskazini

[hariri | hariri chanzo]
Jina


Mahali


Tovuti
Kivunge District Hospital Mkwajuni Zanzibar

Mkoa wa Unguja Kusini

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mahali Tovuti
Makunduchi District Hospital Makunduchi Zanzibar

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viuongo vya nje

[hariri | hariri chanzo]