Hospitali ya Mount Meru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hospitali ya Mount Meru inapatikana jijini Arusha nchini Tanzania.

Hospitali hiyo ilijengwa mwaka 1926 kama hospitali ya kijeshi wakati wa ukoloni.

Baada ya hapo ilibaki kama hospitali ya mkoa. Kwa sasa hospitali hiyo inasaidia wakazi wa Arusha na wageni wengine kutoka nje ya mkoa huo zaidi ya milioni moja na laki sita. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]