Hospitali ya Marangu
Mandhari
Hospitali ya Kilutheri ya Marangu inapatikana Marangu, mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania na inamilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania dayosisi ya Kaskazini.
Hospitali hii ilifunguliwa mwaka 1907, ilianza kama kituo cha kutoa huduma ya kwanza na kukua taratibu mpaka kufikia hadhi ya kuitwa hospitali ya Wilaya. Hospitali ya Marangu ina jumla ya vitanda 80, na inahudumia watu takribani 300,000, kutoka maeneo ya Marangu Holili, Himo na Uchira[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |