Hospitali ya Ocean Road

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alama ya Hospitali

Hospitali ya Ocean Road ipo katika nchi ya Tanzania ndani ya jiji la Dar es Salaam, wilaya ya Ilala.

Hospitali hiyo ilijengwa mwaka 1897 ikiitwa European Hospital na baada ya uhuru iliitwa Ocean Road Hospital (Hospitali ya Ocean Road).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hospitali ya Ocean Road kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.