Hospitali ya Chimala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hospitali ya kimisionari ya Chimala ni hospitali ya Kikristo inayopatikana katika kijiji cha Chimala wilaya ya Mbarali, mkoa wa Mbeya, nchini Tanzania.

Hupokea wagonjwa takribani elfu ishirini (20,000) kila mwaka.

Huduma zinazopatikana[hariri | hariri chanzo]

  1. Wodi ya watoto
  2. Wodi ya wanaume
  3. Wodi ya akina mama
  4. Wodi ya wazazi
  5. Upasuaji mdogo
  6. Huduma kwa waathirika wa virusi vya Ukimwi (VVU)
  7. Huduma ya tiba ya mionzi (x-ray)
  8. Huduma za maabara

[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]