Kituo cha afya cha Itololo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kituo cha Afya Itololo, kipo katika wilaya ya Kondoa, Mkoa wa Dodoma na kina namba ya usajili 101996. Kituo hiki cha Itololo kipo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa [1]. Kituo cha Itololo ni kituo cha Mishionari cha wamishenari mabradha na mapadre wa Passionist [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://magonjwa.com/hospitals/101996/itololo[dead link]
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-08-06. Iliwekwa mnamo 2020-03-07.