Hospitali ya NSK

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hospitali ya NSK ni miongoni mwa hospitali bora mkoani Arusha, ikiwa na mpango wa kuleta mapinduzi katika sekta ya afya kwa kutumia sayansi wezeshi pamoja na wafanyakazi wengine. Hospitali inajumuisha idara mbalimbali kama vile radiolojia, maabara ya patholojia na nyingine. Hospitali hii inatarajia kuongeza matawi mengine ndani ya Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]